Amosi 9:12 BHN

12 Nao Waisraeli watamiliki mabaki ya Edomuna mataifa yote yaliyokuwa yangu.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema,na nitafanya hivyo.

Kusoma sura kamili Amosi 9

Mtazamo Amosi 9:12 katika mazingira