Hosea 1:3 BHN

3 Basi, Hosea akaenda, akamwoa Gomeri, binti Diblaimu. Gomeri akapata mimba, akamzalia Hosea mtoto wa kiume.

Kusoma sura kamili Hosea 1

Mtazamo Hosea 1:3 katika mazingira