Hosea 12:1 BHN

1 Watu wa Efraimu wananirundikia uongo,na Waisraeli udanganyifu.Watu wa Yuda, wananiasi mimi Mungu Mtakatifu.

Kusoma sura kamili Hosea 12

Mtazamo Hosea 12:1 katika mazingira