Hosea 12:3 BHN

3 Mwenyezi-Mungu ana mashtaka dhidi ya Yuda;atawaadhibu wazawa wa Yakobo kadiri ya makosa yao,na kuwalipa kadiri ya matendo yao.

Kusoma sura kamili Hosea 12

Mtazamo Hosea 12:3 katika mazingira