9 Mwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako;mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri!Mimi nitakukalisha tena katika mahema,kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu,wakati wa sikukuu ya vibanda.
Kusoma sura kamili Hosea 12
Mtazamo Hosea 12:9 katika mazingira