8 Nitawarukieni kama dubualiyenyang'anywa watoto wake.Nitawararua vifua vyenuna kuwala papo hapo kama simba;nitawararua vipandevipande kama mnyama wa porini.
Kusoma sura kamili Hosea 13
Mtazamo Hosea 13:8 katika mazingira