Hosea 2:13 BHN

13 Nitamlipiza sikukuu za Baali alizoadhimisha,muda alioutumia kuwafukizia ubani,akajipamba kwa pete zake na johari,na kuwaendea wapenzi wake,akanisahau mimi.Mimi Mwenyezi-Mungu nasema.

Kusoma sura kamili Hosea 2

Mtazamo Hosea 2:13 katika mazingira