15 Huko nitamrudishia mashamba yake ya mizabibu,bonde la Akori nitalifanya lango la tumaini.Atanifuata kwa hiari kama alipokuwa kijana,kama wakati alipotoka katika nchi ya Misri.
Kusoma sura kamili Hosea 2
Mtazamo Hosea 2:15 katika mazingira