Hosea 2:21 BHN

21 “Siku hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema,nitaikubali haja ya mbingu ya kunyesha mvua,mbingu nazo zitaikubali haja ya ardhi.

Kusoma sura kamili Hosea 2

Mtazamo Hosea 2:21 katika mazingira