3 La sivyo, nitamvua nguo abaki uchi,nitamfanya awe kama alivyozaliwa.Nitamfanya awe kama jangwa,nitamweka akauke kama nchi kavu.Nitamuua kwa kiu.
Kusoma sura kamili Hosea 2
Mtazamo Hosea 2:3 katika mazingira