Hosea 4:16 BHN

16 Waisraeli ni wakaidi kama punda.Kwa nini basi Mungu ashughulike kuwachunga,kama kondoo kwenye malisho mapana?

Kusoma sura kamili Hosea 4

Mtazamo Hosea 4:16 katika mazingira