Hosea 4:6 BHN

6 Watu wangu wameangamia kwa kutonijua,maana wewe kuhani umekataa mafundisho.Nimekukataa kuwa kuhani wangu.Kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako,nami pia nitawasahau watoto wako.

Kusoma sura kamili Hosea 4

Mtazamo Hosea 4:6 katika mazingira