Hosea 5:1 BHN

1 “Haya! Sikilizeni enyi makuhani!Tegeni sikio, enyi Waisraeli!Sikilizeni enyi ukoo wa kifalme!Nyinyi mlipaswa kuzingatia haki,badala yake mmekuwa mtego huko Mizpa,mmekuwa wavu wa kuwanasa huko Tabori.

Kusoma sura kamili Hosea 5

Mtazamo Hosea 5:1 katika mazingira