14 Maana mimi nitakuwa kama simba kwa Efraimu,kama mwanasimba kwa watu wa Yuda.Mimi mwenyewe nitawararua na kuondoka,nitawachukua na hakuna atakayewaokoa.
Kusoma sura kamili Hosea 5
Mtazamo Hosea 5:14 katika mazingira