Hosea 5:3 BHN

3 Nawajua watu wa Efraimu,Waisraeli hawakufichika kwangu.Nyinyi watu wa Efraimu mmefanya uzinzi,watu wote wa Israeli wamejitia najisi.

Kusoma sura kamili Hosea 5

Mtazamo Hosea 5:3 katika mazingira