9 Kama wanyang'anyi wamwoteavyo mtu njiani,ndivyo na makuhani walivyojikusanya na kuvizia.Wanaua watu njiani kuelekea Shekemu,naam, wanatenda uovu kupindukia.
Kusoma sura kamili Hosea 6
Mtazamo Hosea 6:9 katika mazingira