16 Wanaigeukia miungu batili,wako kama uta uliolegea.Viongozi wao watakufa kwa upanga,kwa sababu ya maneno yao ya kiburi.Kwa hiyo, watadharauliwa nchini Misri.
Kusoma sura kamili Hosea 7
Mtazamo Hosea 7:16 katika mazingira