Hosea 7:6 BHN

6 Kama tanuri iwakavyo,mioyo yao huwaka kwa hila;usiku kucha hasira yao hufuka moshi,ifikapo asubuhi, hulipuka kama miali ya moto.

Kusoma sura kamili Hosea 7

Mtazamo Hosea 7:6 katika mazingira