Hosea 8:4 BHN

4 “Walijiwekea wafalme bila kibali changu,walijiteulia viongozi ambao sikuwatambua.Wamejitengenezea miungu ya fedha na dhahabu,jambo ambalo litawaangamiza.

Kusoma sura kamili Hosea 8

Mtazamo Hosea 8:4 katika mazingira