Kutoka 1:17 BHN

17 Lakini kwa kuwa wakunga hao walimcha Mungu, hawakufanya kama walivyoamriwa na mfalme wa Misri, bali waliwaacha watoto wa kiume wa Waisraeli waishi.

Kusoma sura kamili Kutoka 1

Mtazamo Kutoka 1:17 katika mazingira