Kutoka 1:19 BHN

19 Wao wakamjibu Farao, “Wanawake wa Kiebrania si sawa na wanawake wa Misri. Wao ni hodari; kabla mkunga hajafika, wao huwa wamekwisha jifungua.”

Kusoma sura kamili Kutoka 1

Mtazamo Kutoka 1:19 katika mazingira