Kutoka 1:22 BHN

22 Kisha Farao akawaamuru watu wake wote hivi, “Kila mtoto wa kiume atakayezaliwa kwa Waebrania mtupeni mtoni Nili. Lakini kila mtoto wa kike, mwacheni aishi.”

Kusoma sura kamili Kutoka 1

Mtazamo Kutoka 1:22 katika mazingira