21 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nyosha mkono wako juu mbinguni ili giza nene litokee nchini Misri, giza nene ambalo mtu ataweza kulipapasa.”
Kusoma sura kamili Kutoka 10
Mtazamo Kutoka 10:21 katika mazingira