Kutoka 10:5 BHN

5 Nchi yote ya Misri itakuwa giza kwa sababu ya nzige hao. Watakula kila kitu kilichosalimika baada ya ile mvua ya mawe; pia hawataacha chochote juu ya miti inayoota mashambani.

Kusoma sura kamili Kutoka 10

Mtazamo Kutoka 10:5 katika mazingira