Kutoka 11:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Bado kuna pigo moja nitakalomletea Farao na nchi ya Misri. Baadaye atawaacheni mwondoke hapa. Tena atakapowaacheni mwondoke, yeye mwenyewe atawafukuza mwondoke kabisa.

Kusoma sura kamili Kutoka 11

Mtazamo Kutoka 11:1 katika mazingira