Kutoka 11:3 BHN

3 Mwenyezi-Mungu akawafanya Waisraeli wapendeke mbele ya Wamisri. Tena, Mose mwenyewe akawa mtu mashuhuri sana nchini Misri, na mbele ya maofisa wa Farao na watu wote.

Kusoma sura kamili Kutoka 11

Mtazamo Kutoka 11:3 katika mazingira