Kutoka 11:7 BHN

7 Lakini miongoni mwa Waisraeli hakuna mtu, mnyama au mbwa wao atakayepatwa na madhara yoyote, ili upate kutambua kwamba mimi Mwenyezi-Mungu hutofautisha kati ya Waisraeli na Wamisri.’”

Kusoma sura kamili Kutoka 11

Mtazamo Kutoka 11:7 katika mazingira