16 Siku ya kwanza na siku ya saba mtakuwa na mkutano mtakatifu. Katika siku hizo mbili hamtaruhusiwa kufanya kazi yoyote isipokuwa kazi ya lazima ya kutayarisha chakula.
Kusoma sura kamili Kutoka 12
Mtazamo Kutoka 12:16 katika mazingira