Kutoka 12:39 BHN

39 Kwa kuwa walikuwa wameondoka Misri kwa haraka, hawakuweza kutayarisha chakula cha safarini, ila tu ule unga uliokandwa bila kutiwa chachu. Basi, wakaoka mikate isiyotiwa chachu.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:39 katika mazingira