Kutoka 12:4 BHN

4 Kama jamaa moja ni ndogo mno hata isiweze kumaliza kondoo mmoja, itashirikiana na jamaa jirani kadiri ya idadi ya watu wake; kisha watachagua mnyama ambaye kila mtu ataweza kula.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:4 katika mazingira