Kutoka 12:6 BHN

6 Mtamweka mnyama huyo mpaka siku ya kumi na nne ya mwezi huu. Siku hiyo, jumuiya yote ya Waisraeli watawachinja wanyama hao wakati wa jioni.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:6 katika mazingira