11 Mose akaendelea kuwaambia watu, “Hali kadhalika, wakati Mwenyezi-Mungu atakapowafikisha katika nchi ya Wakanaani na kuwapeni iwe mali yenu kama alivyowaapia nyinyi na babu zenu,
Kusoma sura kamili Kutoka 13
Mtazamo Kutoka 13:11 katika mazingira