14 Kama hapo baadaye mwanao akiuliza maana ya jambo hili, utamwambia, ‘Kwa nguvu ya mkono wake, Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri ambako tulikuwa watumwa.
Kusoma sura kamili Kutoka 13
Mtazamo Kutoka 13:14 katika mazingira