Kutoka 13:2 BHN

2 “Niwekee wakfu wazaliwa wote wa kwanza wa kiume, maana wazaliwa wote wa kwanza wa kiume wa Waisraeli na kila wazaliwa wa kwanza wa wanyama ni wangu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 13

Mtazamo Kutoka 13:2 katika mazingira