Kutoka 13:21 BHN

21 Mchana Mwenyezi-Mungu aliwatangulia katika mnara wa wingu kuwaonesha njia, na usiku aliwatangulia katika mnara wa moto kuwaangazia, ili waweze kusafiri mchana na usiku.

Kusoma sura kamili Kutoka 13

Mtazamo Kutoka 13:21 katika mazingira