Kutoka 13:6 BHN

6 Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu, na mnamo siku ya saba mtafanya sikukuu kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Kutoka 13

Mtazamo Kutoka 13:6 katika mazingira