Kutoka 14:13 BHN

13 Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:13 katika mazingira