Kutoka 14:2 BHN

2 “Waambie Waisraeli warudi nyuma, wapige kambi mbele ya Pi-hahirothi, kati ya mji wa Migdoli na bahari ya Shamu, mbele ya Baal-sefoni. Mtapiga kambi mbele yake karibu na bahari.

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:2 katika mazingira