Kutoka 16:10 BHN

10 Wakati Aroni alipokuwa akizungumza na jumuiya ya Waisraeli, watu wote walitazama huko jangwani, na mara utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukaonekana mawinguni.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:10 katika mazingira