Kutoka 16:18 BHN

18 Lakini wote walipokipima kipimo walichookota katika pishi, waligundua kuwa aliyeokota kingi hakuwa na cha ziada, na aliyeokota kidogo, hakupungukiwa. Kila mmoja alikuwa ameokota kiasi alichoweza kula.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:18 katika mazingira