24 Basi, wakafanya hivyo na kukiacha chakula kingine mpaka kesho yake kama Mose alivyosema. Asubuhi yake waliona kwamba hakikuharibika wala kuwa na mabuu.
Kusoma sura kamili Kutoka 16
Mtazamo Kutoka 16:24 katika mazingira