Kutoka 16:29 BHN

29 Fahamuni kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nimewapa siku ya Sabato, ndiyo maana nikawapa chakula cha siku mbili mnamo siku ya sita. Basi, pumzikeni kila mtu nyumbani mwake; mtu yeyote asitoke katika siku ya saba.”

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:29 katika mazingira