Kutoka 16:3 BHN

3 “Laiti Mwenyezi-Mungu angelituua tulipokuwa nchini Misri ambako tulikaa, tukala nyama na mikate hata tukashiba. Lakini nyinyi mmetuleta huku jangwani kuiua jumuiya hii yote kwa njaa!”

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:3 katika mazingira