Kutoka 16:31 BHN

31 Waisraeli walikiita chakula hicho “Mana.” Kilikuwa kama mbegu za mtama mweupe na ladha yake ilikuwa kama mkate mwembamba uliotiwa asali.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:31 katika mazingira