Kutoka 16:7 BHN

7 Tena, kesho asubuhi, mtauona utukufu wa Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manunguniko mliyomnungunikia. Sisi ni nani hata mtunungunikie?”

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:7 katika mazingira