5 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Pita mbele ya watu hawa ukiwachukua wazee wao kadhaa; chukua pia mkononi mwako ile fimbo uliyoipiga nayo mto Nili.
Kusoma sura kamili Kutoka 17
Mtazamo Kutoka 17:5 katika mazingira