Kutoka 17:9 BHN

9 Mose akamwambia Yoshua, “Chagua wanaume uende ukapigane na Waamaleki. Kesho nitasimama juu ya kilele cha kilima, nikiishika mkononi mwangu ile fimbo ya Mungu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 17

Mtazamo Kutoka 17:9 katika mazingira