Kutoka 18:1 BHN

1 Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, alisikia juu ya mambo yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimtendea Mose na Waisraeli alipowatoa katika nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Kutoka 18

Mtazamo Kutoka 18:1 katika mazingira