Kutoka 18:21 BHN

21 Lakini kuhusu mambo mengine, chagua miongoni mwa watu wote, watu wanaostahili, watu wanaomcha Mungu, waaminifu na wanaochukia kuhongwa. Wape hao mamlaka, wawe na jukumu la kuwasimamia watu katika makundi ya watu elfu, mia, hamsini na kumikumi.

Kusoma sura kamili Kutoka 18

Mtazamo Kutoka 18:21 katika mazingira