Kutoka 18:5 BHN

5 Yethro, mkwewe Mose, alikuja pamoja na binti yake, yaani mkewe Mose, pamoja na watoto, akamkuta Mose jangwani alikokuwa amepiga kambi kwenye mlima wa Mungu.

Kusoma sura kamili Kutoka 18

Mtazamo Kutoka 18:5 katika mazingira